MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,125
[emoji6]
Aaahh, kumbe ndo maana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]virus hao
Hennessy,Taquila,Guiness sigusi kama sina uhakika wa ile kitu karibu.
Mmh!
Hahahsla mkuu.Hiyo kitu stimu zake babkubwa,afu ukiamka asubuhi ile harufu mdomoni unajua Jana ulipiga pombe ya kiume.Noma mzee baba, mimi my favorite ni konyagi [emoji23][emoji23]ukisikia wanauza hisa nishtue aisee
Hizo bia mie macho yamenitoka[emoji39]
Mkono wako uko njema[emoji4]
Duh umependeza mashalahhhhhh Wallah miamia.
[emoji2958][emoji2958][emoji2958] tuvishane pete aisee we are almost identical [emoji132]Mkono wako uko njema[emoji4]
Nakufuata nimechoka na chichat humu ndani.Sasa ndio nnaweza kutoka, kupata upepo huko nje...View attachment 1297631
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nakufuata nimechoka na chichat humu ndani.