Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Mmmh
MTC | 101|

Mmmh

Naomba msaada wenu wakuu. Nakua napata notification muda wote wa nyuzi nilizowahi fungua. Nifanyeje
Uunh wapi...
Disable notifications katika simu yako...Naomba msaada wenu wakuu. Nakua napata notification muda wote wa nyuzi nilizowahi fungua. Nifanyeje
Bob! These things are one of my favourites.nigga if you pulled this one off...then upo kwenye ligi zangu...hat off!!!
Hahahahahha..eti misoseji na mibagaIle ya mdada msupuuu hivi ana shavu fulani limenawirishwa na misoseji mibaga hivi eenh
..na umefanya watu wakawa ndugu kabisa "mdogo wangu" Sakayo .Uzi wa Mshana umezaa View attachment 1296962
Bob! These things are one of my favourites.
Maisha yaleeee ya chuo, hii mambo ilinisaidia sana mzee. Nimepigika kinoma sina boom wala nini, mimi na akili zangu tu za darasani. Kwa hiyo nikienda "kudiscuss" na watoto wa kitasha huko huko tunatoa kitu maisha yanaendelea.
..ya tatu ni....!!!Kaka baada ya kutoka chuo nadhani nilimaliza na shahada tatu,
Moja ni ile ya chuo, ya pili uchef na ya tatu naiweka kapuni...
HahahahahaZile neema yna2 sio kila mtu anapata yale majaaliwa