Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah weekend hii nimepoa sana kuna mtu nimemkorofisha jana usiku kanisachi kakuta zana zimebaki 2, nnaamka asubhi simuoni kabeba funguo za gari, wallet, card za bank, vitambulisho, fedha za dharura na mtoto katokomea kwao ukisikia kizaa zaa ndio hiki 🥃

Embu nishaurini wadau View attachment 1291584

😀😀 Mke wako au
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woii halafu unajua tukija kwenye takwimu yawezekana kweli mimi ndiye ninayeongoza kwa comments nyingi kwenye ule uzi,, daah hadi nimejishitukia sasa..
Halafu wewe ndio mwanzilishi...Labda wamekuona unatoa koment nyingi sana kule wameamua kukuzawadia kabisaaaa uzi mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah weekend hii nimepoa sana kuna mtu nimemkorofisha jana usiku kanisachi kakuta zana zimebaki 2, nnaamka asubhi simuoni kabeba funguo za gari, wallet, card za bank, vitambulisho, fedha za dharura na mtoto katokomea kwao ukisikia kizaa zaa ndio hiki 🥃

Embu nishaurini wadau View attachment 1291584
Pole sana 😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woii halafu unajua tukija kwenye takwimu yawezekana kweli mimi ndiye ninayeongoza kwa comments nyingi kwenye ule uzi,, daah hadi nimejishitukia sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya uzi uwe interesting... jiinjolie tu mwaya...maana kuna siku utakuwa bored utahamia pengine
 
Back
Top Bottom