Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio madogo wa town hawa unashangaa vitu vinaisha hela hamnaa. .akiandika inasaidia kupiga hesabu na kumjua Mchawi

pia kuna wanaokopa akinote inasaidia pia

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninaye mmoja ananisumbua alikuwa anachukua kwa ujanja ila sasa kazidisha najua nina mpango nitafute mwengine muaminifu kiasi.
 
Na Hela ndogondogo nachukua siachi hata senti

Cc Smart911 View attachment 1294911

Sent using Jamii Forums mobile app
Juice man made pia inapatikana


Ya parachichi na pasheni pia kuna ya tikiti maji parachichi pasheni karoti bila kusahau ka radha ka tangawizi na mdalasin kwa mbaaaliii


Cc Smart911 View attachment 1294900

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza na maji spesho na ya mtumba hapo kabiashara ndo Kameanza badae ntanunua jiko kubwa





Cc Smart911 View attachment 1294894

Sent using Jamii Forums mobile app
Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom