Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487

yeah mi nilileta ubishi tu
Pole Dadake,issue ya Gari si unawapa ya kusafisha viatu mnamalizana tu,basi we utakuwa mbishi tu in necha.



Cc Smart911Mwandiko kama wa joanah
Burberry ya Winter unasikia baridi moaka imevaa sweta.View attachment 1295031
Sent using Jamii Forums mobile app

Hayasisi wengine huo msemo huwa hauapply kwetu tangu tukiwa skuli,, yaani hatuwezi tii sheria hadi tushurutishwe..
Sent using Jamii Forums mobile app



unawaogopa eenh??
staki shari tena???siku za nyuma nishawahi kukaa selo kwa masaa 5, sitasahau ile experience, nikaja nikakaa tena one hour mimi nikisikia unanitafuta na polisi i lay low huku tunamaliza tofauti zetu
![]()
Kumekucha sasa
Hilo chocho nimelimind
Jr![]()
I know that dear kaka, thanks for caring!Pos.. I real care..!
Jr![]()

aisee arosto ya aina hiyo sijaifikia bado,, huyo ni level ingine..
Unaelekea kuwa Hazard CFC
HahahahahahaHi polisi
![]()
Kweli wewe Jose!