Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Mimi ni rough rider,, sasa siku hiyo wakaniotea halafu nikaleta ubishi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikoni jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikoni jamani
Maaa weee! Aisee kekundu nawe wapiga ulabu jamani?






ndio dear,, chanzo ni wewe hapo..
Maaa weee! Aisee kekundu nawe wapiga ulabu jamani?
Huh!!
Ile paredi ya asubuh na jioni walikupigisha...au kule kwa wanawake hamna..
Jion ocd na cdi wanapita kusalimia sello.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utii wa sheria bila shuruti!Mimi ni rough rider,, sasa siku hiyo wakaniotea halafu nikaleta ubishi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huh
😆😆😆😆😆 kekundu jamani, nimekufanyaje kwani!? Tena wanyonya bia ngumu kabisa maa wee!!



sisi wengine huo msemo huwa hauapply kwetu tangu tukiwa skuli,, yaani hatuwezi tii sheria hadi tushurutishwe..
Utii wa sheria bila shuruti!
Radha ya vanilla. .ni food colour sukari maji na radha ya vanilla tu
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza nyingine

umenitosa mie,, yaani hiyo wasema ngumu ningepiga niko na balimi je..
kekundu jamani, nimekufanyaje kwani!? Tena wanyonya bia ngumu kabisa maa wee!!