Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.....
Screenshot_20191217-142533.jpeg
 
Takupa dawa usijali
Jana duka jirani nimeomba chenchi narudi hela siioni[emoji24][emoji24]

Leo siku ya pili nikichukua hela zake baada ya muda sizioni ninapoziweka huyu mama nahisi ana chumaulete nifanyie mchakato wa dawa [emoji23][emoji23]


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom