Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna washkaji wengi sana humu siwaoni kabisa kumbe sababu ni iziizi za kikuma akina mwalimu Antonnia To yeye Kalpana na wengine kibao, Tayana nae ndo ivo kaaga aisee.

Watu roho zao za husda na usengenyaji wanahamishia mpaka mtandaoni. Pathetic.!!
Acha tu mkuu! Inahitaji hekima kubwa maana ni aibu hata kumuelezea mtu!
 
😹😹😹 humu ndani vituko haviishii..!!

Tupotee kwenye huu uzi uduguu kama kipindi kile…!! Tuache watu na biashara zao.
Selfika ni ya kiwaki kwa sasa, ndio maana siwagi active humu, hadi kuwe na jambo ndio naingia.
Najionea shida, maana shengesha hamna, kumebaki micharuo tu.
Sasa mie micharuo nina chimbo langu sio humu.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom