Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,930
- 103,284
Unajitolea kumwaga vocha kama boss mjep 😹Nipe namba sasa..
Tuokoteshe vocha tajiriiiiii mia
Unajitolea kumwaga vocha kama boss mjep 😹Nipe namba sasa..
Una kibarua!Kuna ukweli hapa
Nani kakwambia hapa ni watu wa paris tu weka hata kama uko tandahimba huko!Kama nikienda paris namimi nitaweka hapa niwe natamba tu
😹😹😹 Tayana risiti imetumwa hapa kesi yako ngumu..!!Duh
Hapana jmn
Naomba unisaidie, siko tayari kupoteza nilichonacho!🤌
We unajua ila unazingua katibu!
Najua tunataniana ila sio wote wanaoelewa kuwa huu ni utani watu wana wivu kipenzi ...wanapita kusoma humu...!
Siko tayari kuachika kipenzi, tafadhali sitaki ht kufikiria kwa mbali yaani!
🤝😉
😹😹😹 Tunaburudika tu!Haha mchuchu
Mda wote umejiandaa na mabomu*
Wanashtua umaskini..!!Naweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
😄😄😄😄Mimi ndio mfanya usafi, huoni muda wote niko active humu, subiri nifukuzwe😆
AI imekudanganya, hiko chuma kina baby face na shingo ya kukatika..!!Kuna ukweli hapa
Nami naona huyu anaweza tumika kama dhamana kulipia deni la taifaAI imekudanganya, hiko chuma kina baby face na shingo ya kukatika..!!
Kuhusu pesa anazo sema hataki watu wamjue… salary yake ina koma tatu..!!
😹😹😹 Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!Nami naona huyu anaweza tumika kama dhamana kulipia deni la taifa
Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????Msiwe na roho za wivu hata nyie ruksa kupost mikokoteni na punda 😹😹
Unataka kushindana mwenzetu unalala wapi?
Unataka kushindana mwilini una rangi mbili 😹😹😹
Unataka kushindana na shepu lako la mchongo..!! 😹😹
Unataka kushindana mwenzetu single maza wa watoto watatu na kila mtoto na babaake..!! 😹😹
Ila hii taarabu inachekesha sana..!! 😹
Hivi hua wanawaona machizi wa JF walivyo au mi ndo sielewiii…!! 😹
Nimeiiba hata sio yangu!!Mama Mio 😍
Shape ya mwaka wa mbele haina mbambamba 🔥🔥
Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapa😹😹😹 Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!
Deni linaisha na pesa za kuanzia miradi tunapewa bure..!!
Mi nawasapoti shida wanawake wengine wana roho za wivu, chuki na roho mbaya..!!Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????
Wanawake kwa wanawake kudhalilishana Haipendezi mrembo!
Mi maskini ombaomba tu mrembo pesa natoa wapi!!😹😹😹 Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!
Deni linaisha na pesa za kuanzia miradi tunapewa bure..!!
Weee thubutuu, ni wewe huyo 😍Nimeiiba hata sio yangu!!
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.Wanashtua umaskini..!!
Zako ziko wapi utupostie tajiriiiii… 😹
Upi tena?Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapa