Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiri wa moto 😹😹

Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!

Sisi anatuaga jukwaani kumbe katulia pm kwa tajiriiiiiiiiiiiiiiii awwww wog kawezaaa 😹😹😹
Duh
Hapana jmn
Naomba unisaidie, siko tayari kupoteza nilichonacho!🤌

We unajua ila unazingua katibu!
Najua tunataniana ila sio wote wanaoelewa kuwa huu ni utani watu wana wivu kipenzi ...wanapita kusoma humu...!

Siko tayari kuachika kipenzi, tafadhali sitaki ht kufikiria kwa mbali yaani!
🤝😉
 
Haha mchuchu
Mda wote umejiandaa na mabomu*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…