Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,007
- 27,083
Mbona havitatutosha wote sasaView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Vipo vya kutosha nyie tuMbona havitatutosha wote sasa
Mi hata kibunda cha pesa za madafu sina 😹😹We tajiri tulia bhana achana nasisi masikini 🏃
All is wellView attachment 3677631
Hapo zamani 🤗
I used to love this movie 🎥All is well
Haichoshi narudia sana kumchek Principal Mr virusI used to love this movie 🎥
Nimekuwa naingalia mara nyingi bila kunikinai
Nshakwambia ulete Benz unipe lift utaki mpaka kesho naondoka DarWee mbona umekazania mi tajiri 😹
Au unanikimbia kimtindo nisifaidi hizo dollar 😹
Jamaa walijua kupangilia story yaoHaichoshi narudia sana kumchek Principal Mr virus
Kumbuka Leo tulikuwepo wote Kilingeni msata. Tukapiga na Picha.😅
Njoo bonyokwa ulichukue 😹Nshakwambia ulete Benz unipe lift utaki mpaka kesho naondoka Dar
Bonyokwa ndo wap, ntumie locationNjoo bonyokwa ulichukue 😹
Tajiri hata bonyokwa huijui dah! 😹Bonyokwa ndo wap, ntumie location