Ukianza kutafuta logic kwenye mambo ya mtandaon mkuu huwezi kupataNaweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
Ila maho kwa kujipondea! Hebu tubless hata za zamani sio lazima ujipige now☺️Nna jipya basiii. nipo napigwa na jua tu na kimeo kimeharibika hadi upande wa camera picha zilizopo za muda kidogo
Achukulie poa tu, huo muda wa kuanza kuhangaika na watu huwajui ni kutafuta mengine!Ukianza kutafuta logic kwenye mambo ya mtandaon mkuu huwezi kupata
Ndiyo hapo unaweza dhani ni kupambania potassium kumbe aliyepost ni Nshomile kawaida yake kufoka😃😃😀Achukulie poa tu, huo muda wa kuanza kuhangaika na watu huwajui ni kutafuta mengine!
Tunawaona, kuna machokoraa kibao tu wanapost marange humu kama yule bwa1 hivyo asipagawe!😂Ndiyo hapo unaweza dhani ni kupambania potassium kumbe aliyepost ni Nshomile kawaida yake kufoka😃😃😀
Matapeli watakwambia rangi ya mtumeMubebe mcute😍
Mi sina jipya mama’ake
Nougaa sana lamama naona unakula kiyoyozi kwaofisi. Ofisini kwenu mkihitaji mfanya usafi nistueMubebe mcute😍
Mi sina jipya mama’ake
Do I look like I care?Matapeli watakwambia rangi ya mtume
Mimi ndio mfanya usafi, huoni muda wote niko active humu, subiri nifukuzwe😆Nougaa sana lamama naona upo kwaofisi hapo. Ofisini kwenu mkihitaji mfanya usafi nistue
Hapana wajua waja wakiwa wanataka kutimiza laoDo I look like I care?
Ka kienyeji safiiii
I have no time for nonsense anymore..Hapana wajua waja wakiwa wanataka kutimiza lao
We nawe weka pua lako hapa tulione kazi yako ni kusifia tu!Ka kienyeji safiiii
Unajuaje hii ya kienyeji hii yakizungu???Ka kienyeji safiiii
Sawa tuko hapa ni michezo ya mdako tuI have no time for nonsense anymore..
I choose peace over stupid rumors 💃🏽