Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Wog yuko pm kwako?

Kweli tajiri umetishaaa

Countrywide ukuwadi wako kiboko, naomba na mimi niweke kwa pedezee moja la JF mshkaji wangu..!! 😹😹

Huyo wa shikamoo nani tena?
Mbona wino mwingi tajiriiiii
Wog nshampiga pin hamna kurudi humu country asijemdalalia tena 🤟🏽

Izo shikamoo ndo nyingi huko pm nakua naomba mapedeshee wa humu pesa 😂😂😂
 
Kuna picha fulani niliziona nikasikitika sana maana yule mdada nilikuwa namheshimu mno. Hata kama ni nguvu ya pesa that was too much!

We komaa tu na vijora sis maana mwanamke asiye na pesa zake mwenyewe ni mtumwa na anaweza kudhalilishwa na kutwezwa utu wake anytime hasa kama hajitambui.
JF wanaume wengi wadhalilishaji na kila siku mimi nawaambia hili.
Nishapigwa ban sana kwa kuwachamba hao wanaorusha pics zao za utupu kwa wanaume wa JF..

Wengi wao sijui wako desparate au ndo changamoto ya afya ya akili, au sijui ushamba na njaa njaa za kijinga..!! Hapo nashindwa kuelewa..!!

Kitendo cha mwanamke kutuma utupu wako pm ni kiwango cha mwisho cha kufikiri..!!
Wanaume wenyewe hawana utu wala kaba. Wanachojali kuwavimbia wenzao kwamba wamekuvua nguo.

Ni huzuni kwakweli.
Hata kama ni njaa zao zimezidi..!!
 
View attachment 3677829
Lamomy hii picha unaikumbuka? Hiki kipindi ndo nilikua nmeaga kariakoo nkakimbilia huko mabonde kuinama.!!
Halafu kumbe mkaka mzuri hivi jamani 😍😍

Pic siikumbuki leo ndo nakuona kwa mara ya kwanza..!! 😍🔥

Uwe unatupia kila mara bana, vitu zangu kabisa wewe..!! 😹😹
 
JF wanaume wengi wadhalilishaji na kila siku mimi nawaambia hili.
Nishapigwa ban sana kwa kuwachamba hao wanaorusha pics zao za utupu kwa wanaume wa JF..

Wengi wao sijui wako desparate au ndo changamoto ya afya ya akili, au sijui ushamba na njaa njaa za kijinga..!! Hapo nashindwa kuelewa..!!

Kitendo cha mwanamke kutuma utupu wako pm ni kiwango cha mwisho cha kufikiri..!!
Wanaume wenyewe hawana utu wala kaba. Wanachojali kuwavimbia wenzao kwamba wamekuvua nguo.

Ni huzuni kwakweli.
Hata kama ni njaa zao zimezidi..!!
i wonder inakuaje mwanaume unatumiwa nudes af vile huna akili unaenda kupost sehemu au unamtumia mtu like wtf.!!!!!!!!!!!
 
Wog nshampiga pin hamna kurudi humu country asijemdalalia tena 🤟🏽

Izo shikamoo ndo nyingi huko pm nakua naomba mapedeshee wa humu pesa 😂😂😂
Wog kachangamka aiseee..!! 😹

Kanishinda hadi katibu wake anavyojiongeza 😹

Aaahh Christine_1 wog igweeeeeeeeeeee
Umeweza mamaa mchungaji, Unachunga kondoo wasipotee mpaka pm ..!!

Unipe mbinu katibu wako jinsi ya kuzama pm alooo..!! 😹
 
i wonder inakuaje mwanaume unatumiwa nudes af vile huna akili unaenda kupost sehemu au unamtumia mtu like wtf.!!!!!!!!!!!

Sema humu kuna wanawake wapo cheap sijui unakuta umekaa huna hili wala lile mara text inaingia pm from no where ID yenyewe mpya machoni huku na huku mnachat mara nudes zinatumwa hahah wengine tumeokoka jamani. Ambao hatuezi izo mbanga ilitubidi kufunga pm.
Umeokoka wapi wewe wakati kina wog wamejaa pm na pisi zingine kibao..!! 😹😹

Halafu unatuzuga hapa hakuna pm yoyote 😹😹

Nyie ndo wale SILENT KILLER 😹
 
Back
Top Bottom