Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,394
- 34,421
Sawaa mkuu hakuna nenoThanks
Ila ondoa shaka
Sawaa mkuu hakuna nenoThanks
Ila ondoa shaka
Watu wengine wachoyo na maboga yaoChakula kinavutia, ni maboga na nini hiki pembeni? Mbona unakula usiku sana? Usiwe unakula chakula masaa mabaya hayo!
Upako kila mahalaTajiri wa moto 😹😹
Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!
Sisi anatuaga jukwaani kumbe katulia pm kwa tajiriiiiiiiiiiiiiiii awwww wog kawezaaa 😹😹😹
Lini unanipa vibunda vyako na mieDah.!! 😹😹
Kwamba kuna msululu pm kwa picha za pesa??
Basi hao wapanga foleni ni wauzaji mashuhuri aisee..!! 😹
Vipi wewe uliwahi kuwapata kwa style hiyo?
Kwan huyu mwana jf?
Mama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee 😹😹😹Upako kila mahala
Vibunda nivitoe wapi mimi mabovu..!! 😹😹Lini unanipa vibunda vyako na mie
Nmecheka sana sasa unashangaa kwani yeye hatakiMama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee 😹😹😹
Ahhhaa..!! Ma mchu kumtetea kazi, kesi yake ngumu..!! 😹😹Nmecheka sana sasa unashangaa kwani yeye hataki
Mamchu naye apewe
Msimseme Ma Mchungaji. Mkiendelea nitawasemea kwa Baba yake Mwakasege 😂😂😂Mama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee 😹😹😹
Tajiriiii kuna cross examination hatujafanya em kwanza rudi puliiiizzzz 😹😹Pm yangu hakuna message ata moja 🤣🤣 achana nae uyo anazua taharuki
Mi nikajua utani bana 😹😹Msimseme Ma Mchungaji. Mkiendelea nitawasemea kwa Mwakasege 😂😂😂
Injili ni lazima ihubiriwe kwa viumbe vyote! 📌
Ila leodada kisu 😍😍😍mshangazi kwenye mihangaiko ya wikiend
miaka ya bongo30 ya bongo fleva yote nipo huna macho mdogo wanguIla leodada kisu 😍😍😍
Pisi ya baba stars mwenyeweee..!!
Ulienda kumsapoti miaka 30 ya bongo fleva lakini?
Sema hapo ulipoweka emoji then chini upo naked unaonekana wote sis 😹
Sijakuona, itabidi nianze kula carrot sis 😹miaka ya bongo30 ya bongo fleva yote nipo huna macho mdogo wangu
carrots matunda kwa wingi maji mengi utaniona!. kama uki review ya dar basi unalienable liveSijakuona, itabidi nianze kula carrot sis 😹
Usinambie sis 🔥🔥carrots matunda kwa wingi maji mengi utaniona!. kama uki review ya dar basi unalienable live
Hansamu boii, 😘😘😘
😘😘mremboosebene limekolea