Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiri wa moto 😹😹

Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!

Sisi anatuaga jukwaani kumbe katulia pm kwa tajiriiiiiiiiiiiiiiii awwww wog kawezaaa 😹😹😹
Duh
Hapana jmn
Naomba unisaidie, siko tayari kupoteza nilichonacho!🤌

We unajua ila unazingua katibu!
Najua tunataniana ila sio wote wanaoelewa kuwa huu ni utani watu wana wivu kipenzi ...wanapita kusoma humu...!

Siko tayari kuachika kipenzi, tafadhali sitaki ht kufikiria kwa mbali yaani!
🤝😉
 
Huyo anayemsema ni kweli alikua hivyo na kazichapa huko Morena na pics kazisambaza pm kwa watu..!! 😹😹

Mimi nilikua na mzigo wa pics za members aliopita nao. Wengine walikuwa wanamtumia wenyewe pic za nudes zao..!!

Tena kuna connection mpya ya mudada machachari humu selfika imevuja juzi kati hapo..!!

Wambea tunasubiri ajichanganye tumpe risiti zake…!! 😹😹
Haha mchuchu
Mda wote umejiandaa na mabomu*
 
3 idiots tangu utoto mpaka kesho nairudia hii movie, leo mzee umepost kitu cha maana sana tangu uanze kupost😎
Uwe una support na za nyumbani binti
 

Attachments

  • FB_IMG_1790395427777.jpg
    FB_IMG_1790395427777.jpg
    73.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom