Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna jamaa alikuwa na pigo kama zako. Kila siku kuposti mabulungutu ya pesa na ndinga kali kama Audi, BMWs. Tajiri wa Madini na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Morogoro. Alileta madhara makubwa sana hapa Selfika; na kwingineko. Actually nilifikiri labda ni yeye karudi na fyekero 😂

Don't take it too serious too. After all, it is just chit chat! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
😂😂😂
 
Huyo anayemsema ni kweli alikua hivyo na kazichapa huko Morena na pics kazisambaza pm kwa watu..!! 😹😹

Mimi nilikua na mzigo wa pics za members aliopita nao. Wengine walikuwa wanamtumia wenyewe pic za nudes zao..!!

Tena kuna connection mpya ya mudada machachari humu selfika imevuja juzi kati hapo..!!

Wambea tunasubiri ajichanganye tumpe risiti zake…!! 😹😹
😂😂😂 wambeaa woyeeee!!
 
JF wanaume wengi wadhalilishaji na kila siku mimi nawaambia hili.
Nishapigwa ban sana kwa kuwachamba hao wanaorusha pics zao za utupu kwa wanaume wa JF..

Wengi wao sijui wako desparate au ndo changamoto ya afya ya akili, au sijui ushamba na njaa njaa za kijinga..!! Hapo nashindwa kuelewa..!!

Kitendo cha mwanamke kutuma utupu wako pm ni kiwango cha mwisho cha kufikiri..!!
Wanaume wenyewe hawana utu wala kaba. Wanachojali kuwavimbia wenzao kwamba wamekuvua nguo.

Ni huzuni kwakweli.
Hata kama ni njaa zao zimezidi..!!
😂😂😂😂
 
nimelewa hata sioni kesho
acha kunijaza
😹😹😹 Na mimi nipe basi tulewe wote sis..!!

Jitahidi bana niwekee nikuone mutoto ya shy town kwa wazee wa katoro..!!

Pisi Kali ya kisukuma isiyo na kasoro..!!

Mi nakwambia kweli, unafikiri baba stars yeye fala hajui kuchagua? 😹
 
Back
Top Bottom