cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 119,993
- 196,474
๐๐๐๐ JF hii week ni full heka heka nakuambiaa.Umeanza lini mafumbo? ๐น๐น
Cocastic unamuelewa shemeji yako?
Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G ๐น
Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
Uduguu em nenda kulee kuna shengeshaa yangu bhana, usije sema sikukuita au kukuambia, maana najaribu kutag inashindikana.
Aloooooh ๐๐๐๐