Watu wengine wachoyo na maboga yaoChakula kinavutia, ni maboga na nini hiki pembeni? Mbona unakula usiku sana? Usiwe unakula chakula masaa mabaya hayo!
Upako kila mahalaTajiri wa moto πΉπΉ
Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!
Sisi anatuaga jukwaani kumbe katulia pm kwa tajiriiiiiiiiiiiiiiii awwww wog kawezaaa πΉπΉπΉ
Lini unanipa vibunda vyako na mieDah.!! πΉπΉ
Kwamba kuna msululu pm kwa picha za pesa??
Basi hao wapanga foleni ni wauzaji mashuhuri aisee..!! πΉ
Vipi wewe uliwahi kuwapata kwa style hiyo?
Kwan huyu mwana jf?
Mama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee πΉπΉπΉUpako kila mahala
Vibunda nivitoe wapi mimi mabovu..!! πΉπΉLini unanipa vibunda vyako na mie
Nmecheka sana sasa unashangaa kwani yeye hatakiMama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee πΉπΉπΉ
Ahhhaa..!! Ma mchu kumtetea kazi, kesi yake ngumu..!! πΉπΉNmecheka sana sasa unashangaa kwani yeye hataki
Mamchu naye apewe
Msimseme Ma Mchungaji. Mkiendelea nitawasemea kwa Baba yake Mwakasege πππMama mchungaji anasambaza Injili kwa watu wotee πΉπΉπΉ
Tajiriiii kuna cross examination hatujafanya em kwanza rudi puliiiizzzz πΉπΉPm yangu hakuna message ata moja π€£π€£ achana nae uyo anazua taharuki
Mi nikajua utani bana πΉπΉMsimseme Ma Mchungaji. Mkiendelea nitawasemea kwa Mwakasege πππ
Injili ni lazima ihubiriwe kwa viumbe vyote! π
Ila leodada kisu πππmshangazi kwenye mihangaiko ya wikiend
miaka ya bongo30 ya bongo fleva yote nipo huna macho mdogo wanguIla leodada kisu πππ
Pisi ya baba stars mwenyeweee..!!
Ulienda kumsapoti miaka 30 ya bongo fleva lakini?
Sema hapo ulipoweka emoji then chini upo naked unaonekana wote sis πΉ
Sijakuona, itabidi nianze kula carrot sis πΉmiaka ya bongo30 ya bongo fleva yote nipo huna macho mdogo wangu
carrots matunda kwa wingi maji mengi utaniona!. kama uki review ya dar basi unalienable liveSijakuona, itabidi nianze kula carrot sis πΉ
Usinambie sis π₯π₯carrots matunda kwa wingi maji mengi utaniona!. kama uki review ya dar basi unalienable live
Hansamu boii, πππ
ππmremboosebene limekolea
πππ Beautiful Onyinye..!!serene limekolea