Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,416
- 34,491
Mmeanza tabia mbaya siku hizi 😏🙄Vizuri vimekupita😹🔥🔥🔥🔥🔥
Mmeanza tabia mbaya siku hizi 😏🙄Vizuri vimekupita😹🔥🔥🔥🔥🔥
Dah🧐eeh wew umechelewa mnoo mpka tushaosha vyombo 😅
Tubeless ndugu🔥😃😃😃Mkuu
Nitakapoona bidhaa yenye kumfaa mtu mzima, umri wa bibienu, nitakucheki tajiriYangu mambo ya online muendo wa kukutumia tu inspo uone ya kumfaaa😍🔥
Ayaa🤩Nitakapoona bidhaa yenye kumfaa mtu mzima, umri wa bibienu, nitakucheki tajiri
Asanteee🔥Otherwise, Hongera na karibu kwenye Dunia ya biashara 👏👏
Nimefurahi kuona comment yako hapa.Duh we noma
Within a seconds🫡😀
Pako vizuri sana. Wewe mara ya mwisho ulikuwa hapo lini?Unafanya kazi apo kumbe? Ntarudi kukaa tena apo next time kama sitofikia Villa Pako poa sana.
Njoo nikupe ubuyu wa motomotoNyie wadada wa selfika...acheni kutuma tuma sura zenu humu...wakaka wanasema nyie ni vikaragosi...yani mna sura mbayaaa...wabovuu...
So msione wana like hapa na kuwapa sifa baadae mtashangazwa mtakapoanzishiwa uzi...
Mi nilishaacha toka mwaka jana maana hawana adabu hawa...ila baadhi sio wote...😅😅😅😅😅😅
Chap kwa haraka 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Njoo nikupe ubuyu wa motomoto
Na mimi jamaniNjoo nikupe ubuyu wa motomoto
utupie ukiwa umevaa au kuvalisha toi itapendeza zaidi🥰Warembooo🥳🥳🔥🔥🔥🔥karibuni crochet stylish belt🤩🔥😍💋
View attachment 3681797
Ngoja ninunue toiutupie ukiwa umevaa au kuvalisha toi itapendeza zaidi🥰
Usinichekeshe leo dada!😂Na mimi jamani
Niko siriaz ujueUsinichekeshe leo dada!😂
Nimemuita kiujanja nimsalimie, sina ubuyu wowoteNiko siriaz ujue
itakua poa zaidi dearNgoja ninunue toi