Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mshana Jr
Screenshot_2026_0925_195752.jpg

Friday ilikuwa poa sana nilipokutana na mzee wa Kilingeni msata. Nilipokuwa nausaka utajiri wa dangu huko bagamoyo😅
 
Watu wa Dar wote bibi yenu ni mmoja hamtaki appointments kabisa na sisi washamba wa kuja 😁🏃🏽‍♂️🏃🏽‍
😹😹 Hatutaki mkabwe muanze kutupa lawama..!!

Nwei njoo kkoo utanikuta napigwa na jua nimepauka..!! Usinikimbie tu..!! 😹😹
 
Kwa mtindo huu mkuu utakula sana mbususu za hapa Selfika na JF kwa ujumla.. Huko PM kwako I am sure ni patashika nguo kuchanika. I like your style! 👏👏👏
Umechelewa kunijua mkuu sio mambo yangu ayo na pm yangu nilifunga karibia mwaka wa 3 sasa. Don’t take it too serious, chit chat zisikuchanganye
 
Umechelewa kunijua mkuu sio mambo yangu ayo na pm yangu nilifunga karibia mwaka wa 3 sasa. Don’t take it too serious, chit chat zisikuchanganye
Kuna jamaa alikuwa na pigo kama zako. Kila siku kuposti mabulungutu ya pesa na ndinga kali kama Audi, BMWs. Tajiri wa Madini na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Morogoro. Alileta madhara makubwa sana hapa Selfika; na kwingineko. Actually nilifikiri labda ni yeye karudi na fyekero 😂

Don't take it too serious too. After all, it is just chit chat! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom