πππ sasa hapo ushamtisha ujue.G si unamjua anapenda kujiamulia mambo..!! πΉπΉ
Mwenzio anasubiri ukamilishe Jambo lake..!
πͺSafi, piga kazi dogo
Umevurugwa na kipi sasa? πΉLeo umenivuruga hadi usingizi unakuja na kuondoka asee, nitakucall kesho nna jambo tuzungumzw seriousπͺ
πΉπΉπΉBa tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko πΏπ²,
Ananifundishaga, nataka nijue na mie nasepea huko nje, mie ntataka cargo. Mafuta naogopa kulipuka wee.
ππ
Nimemtisha na nini? πΉπππ sasa hapo ushamtisha ujue.
πππ kaona kukaa dukani jau, kaamua kuachia vijana. Yeye anasukuma tank huko.πΉπΉπΉ
Kumbe shem anaendesha tank?
Kampuni gani?
πππanajiamini hatari lolNimemtisha na nini? πΉ
G ashawahi kusikia kwani?
Hata umjibu pumba kesho yupo mkavu kama sio yeye..!!
πΉπΉπΉ Anajiamini mno..!!πππanajiamini hatari lol
Muache akutafutie baby wake..!!πππ kaona kukaa dukani jau, kaamua kuachia vijana. Yeye anasukuma tank huko.
Haswaa muhimu mkono uende kinywani.Muache akutafutie baby wake..!!
Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti auπΉπΉπΉ Anajiamini mno..!!
Maghorofa kitu gani? Mimi nachukia uongo katika maisha yangu! Lamomy alivyoonesha picha yake, hawezi kuwa amenunua kiwanja mbweni miaka ya 90s.Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti au
Ila G πππ
Karibu sana! Mbona umerudi haraka!
Unafanya mchezo, Mi ntaokota wapi picha ya mtu wa kufanana na mimi, Niambie na mimi nataka kuokotaππΉπΉπΉ Mi nimeokoteza pic tu sio mimi huyo..!!
Una kitu ngoja nikushikilie vizuri ili uniweke kitaalamu kwa mate wangu. πYaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.
Hawa ndio wameshika kkoo kwenye biashara za handbags na hizo high heels zenu
nikikaa sehemu zaidi ya wiki miguu inaanza kuwasha ππ½βKaribu sana! Mbona umerudi haraka!
Kweli uduguu baraka zizidi kumiminika kwenu..!!Haswaa muhimu mkono uende kinywani.