binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,287
- 45,221
Sema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle 😀Kabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura Jetour😅
Sema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle 😀Kabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura Jetour😅
Country unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu 😂😂😎😎Siku ukichange mind na kutaka kuingia kkoo alafu akazingua asee sitamuelewa nitammind sana asee
Tajiri nicheck nna mazungumzo marefu na wewe muda huu(nipo serious)Umenijaza mpaka nimepost bajaji yangu mtsiewwww 😹
Range anavuta fasta tu huyu, Kuna simu moja nilikua na video yake alinitumiaga ana burungutu za dollar mia mia. Nikiipata hiyo simu kesho nitakuletea hapa uone balaa lakeSema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle 😀
Kweli umechanganyikiwa 😹😹Hii chuma umenichanganya asee, umevuta lini? Hii Metho utamruhusu kweli hata asogeze?😆😆
Alafu nimemkumbuka yule dogo uliyemrekodi anataka kuhonga😆😆😆
Kiujweli nitammind sana kwa kifupi tutagombana kama atakuzingua. Ila nina uhakika wewe hawezi kuzinguaCountry unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu 😂😂😎😎
We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki 😂 Countrywide njo ufunge hiki kikaoShusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! 😹😹😹
Aje aungurumishe Benz la dada mkinga..!! 😹
Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.Kiujweli nitammind sana kwa kifupi tutagombana kama atakuzingua. Ila nina uhakika wewe hawezi kuzingua
Dah kweli siku hazigandi asee🤣🤣Kweli umechanganyikiwa 😹😹
Mbona unataja watu siwajui??
Mate tuko pamoja wala usiwaze 😹Ametuacha kwenye mataa! 😊
Mbingu na ardhi mwenetu 😀 Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda 🤣Mate tuko pamoja wala usiwaze 😹
Naomba lift bffSasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹
Huyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki 😂 Countrywide njo ufunge hiki kikao
😹😹😹 Tumalize na jambo la kwanza ndo tuingie lingine..!!Usiwe na haraka, wewe tulia mm ndio sterling I know what I do. Tulia, ngoja kwanza tumalize kujadili hii Mercedes maana umenivuruga kabisa🙌
Yaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.
Yani nacheka mpaka machozi 😹😹😹Country unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu 😂😂😎😎
Kesho nikiwa na ile simu nyingine nitakuonyesha hata upande wa hilo ghorofa. Nakuahidi hili, lengo ni kuwa tu inspired na ashike mkono mates wenzie 🙏Mbingu na ardhi mwenetu 😀 Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda 🤣
Basi nitaligawa tutumie lako 😹😹We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki 😂 Countrywide njo ufunge hiki kikao
Jambo lipo ila ngoja kwanza tukujadili😆😆😹😹😹 Tumalize na jambo la kwanza ndo tuingie lingine..!!
Tayana anachelewa, utampa mwingine akija.
Sasa hivi niweke hapo kwa Mfalme wetu..!!
Inshallah in Jesus name 🙏Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.