MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,408
- 13,394
nikikaa sehemu zaidi ya wiki miguu inaanza kuwasha 🏃🏽Karibu sana! Mbona umerudi haraka!
nikikaa sehemu zaidi ya wiki miguu inaanza kuwasha 🏃🏽Karibu sana! Mbona umerudi haraka!
Kweli uduguu baraka zizidi kumiminika kwenu..!!Haswaa muhimu mkono uende kinywani.
😹😹😹 G unamuelewa wewe mimi naona ananichanganya tu!Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti au
Ila G 😂😂😂
Id yako kongwe ipi? 😹Maghorofa kitu gani? Mimi nachukia uongo katika maisha yangu! Lamomy alivyoonesha picha yake, hawezi kuwa amenunua kiwanja mbweni miaka ya 90s.
Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yangu. Mengine ya kawaida.
😂😂😂😹😹😹 G unamuelewa wewe mimi naona ananichanganya tu!
😹😹😹 Zipo nyingi unaweza kumuomba AI akupe..!!Unafanya mchezo, Mi ntaokota wapi picha ya mtu wa kufanana na mimi, Niambie na mimi nataka kuokota😆
😂😂😂Id yako kongwe ipi? 😹
Mi nishakwambia sina lolote njaa tupu..!!
Zimefika mate 😘Una kitu ngoja nikushikilie vizuri ili uniweke kitaalamu kwa mate wangu. 😊
Good morning country, Ukimuona Lamomy popote msalimie.
😍😍 Tajiri umetulia Amell muda huu..!!
Watu na mashemeji zenu 😹Oooh kumbe, basi sawa shemeji.
😹😹😹 Atuwezeshe tajiri hata 50k
tajiri wewe apo nasubiri utie timu apa nisikae kinyonge 😂😂😍😍 Tajiri umetulia Amell muda huu..!!
😂😂😂Watu na mashemeji zenu 😹
😂😂😂 umemfanya nini G? Mbona ananilalamikia sana?😹😹😹 Atuwezeshe tajiri hata 50k
Mi mabovu..tajiri wewe apo nasubiri utie timu apa nisikae kinyonge 😂😂
Malalamiko yake yanahusu nini? 😹😹😂😂😂 umemfanya nini G? Mbona ananilalamikia sana?
😂😂😂Malalamiko yake yanahusu nini? 😹😹
Yafoward tsap niyasome..!!
Muadd kwenye convo zetu tuwe watatu nimsikilize ana changamoto gani? 😹