Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,362
- 96,722
Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King 😹Kweli asee hizo services zake huwa zinanyonya sana miamala
Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King 😹Kweli asee hizo services zake huwa zinanyonya sana miamala
Sio hapa bana duh🤣🤣Nikumbushe na wewe basi..!!
Huyu ni wa Tayana, alafu Tayana ni best yako sana🤣Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King 😹
Nalitoa wapi mi ghorofa 😹Yaah siku moja moja sio mbaya. Tupia ghorofa hata upande tu nataka nimuonyeshe Binti kiziwi
Mimi namsikiliza mkuu wangu wa kazi Countrywide simpingi kwa chochote. Sitaki nije kumuaibisha humu na bakuli kama Diva the Bosssss 😂😂😂😂😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Baby em acha uoga basi..!!
Kwani nimekuomba pesa mimi??
Please weka upande tu Kuna kitu nataka kumuonyesha Binti kiziwi, please🙏Nalitoa wapi mi ghorofa 😹
Labda kibanda cha urithi nipost..!!
Nacho mbavu za mbwa nitachekwa 😹
Weka codes basi 😹Sio hapa bana duh🤣🤣
Asiyekuwepo na lake halipo 😹Huyu ni wa Tayana, alafu Tayana ni best yako sana🤣
Tatizo hizo code ndio siwezagi asee, ngoja nitakuambia tu😅Weka codes basi 😹
Anakupotosha huyo 😹Mimi namsikiliza mkuu wangu wa kazi Countrywide simpingi kwa chochote. Sitaki nije kumuaibisha humu na bakuli kama Diva the Bosssss 😂😂😂😂
😹😹😹Please weka upande tu Kuna kitu nataka kumuonyesha Binti kiziwi, please🙏
Wacha tuone 😁Anakupotosha huyo 😹
Uduguu, naomba kesho nikanyage mafuta ndani ya hiyo ndinga?Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹
Niongopewe nini na wewe? Ila cantry jamanii, khaaahKina coca ndio inapaswa kuwaongopea ila Binti kiziwi hapana bana ngoja nimueleze tu ukweli
Wewe tena..!!Uduguu, naomba kesho nikanyage mafuta ndani ya hiyo ndinga?
😹😹😹 Sukari imempanda ghafla..!!😂😂😂 shem nae ana kisirani, kwani kuna nini?
Sukari imepanda baada ya kujua una German ndinga na ghorofa mbweni au?😹😹😹 Sukari imempanda ghafla..!!