Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sukari imepanda baada ya kujua una German ndinga na ghorofa mbweni au?
😂😂😂😂
😹😹😹😹 Eti Kantry anamjaza naye anajaa kaanza kutufunulia waraka wa baby boomer viwanja viliuzwa elfu 20..!!

Nimemwambia relaxxx sina hivyo vitu..!!
 
😹😹😹😹 Eti Kantry anamjaza naye anajaa kaanza kutufunulia waraka wa baby boomer viwanja viliuzwa elfu 20..!!

Nimemwambia relaxxx sina hivyo vitu..!!
😂😂😂 kheeh humu leo kuliwaka sana sio?
Nimepitwajee??
 
Unataka kumkimbia mamba? Mambaz 24 haikwepeki🤣🤣
Nimkimbie huyo Kichaa ana impact gani sasa? Hivi Wabongo ni halali kuburuzwa na veggies, mtu na akili zako timamu ukamfata yule mlevi wa visungura na nyagi feki?
Em acha kunishusha hadhi, plz
 
Back
Top Bottom