Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We dogo tumiaga akili basi.

Mtu aliyenunua kiwanja mbweni wakati kinauzwa mil 40 au mil 50, kwa sasa kiwanja hiko hiko kitakua mil 200+. Na hiko ndio nilichokua nikisema

Hayo mambo ya historia ya nini na nani kayasema?
Mfano wa pili: Mtu aliyenunua kiwanja goba miaka Saba nyuma kwa mil 30 au mil 40 sasa hivi kiwanja hiko hiko thamani yake itakua mil 100+, hapo ndio tunasema mtu alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa.

Mfano wa mwisho: IST kwa sasa inauzwa mil 22, lakini miaka mitano nyuma ilikua inauzwa mil 12. Hivyo mtu aliyenunua IST miaka mitano nyuma tunasema alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa

Hapo hujaelewa nini?
Pole! Nimekuvua nguo boss kubwa
 
IMG_0795.jpeg
 
Back
Top Bottom