Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,
Hawa kina lamomy bila kuwafata na mabenz au ma range inakua unapoteza muda. Wewe palepale tulia
Unaanza kuharibu, mi niweke hapo..!!

Tayana atapewa mwingine, Mbona wapo wengi humu..!! 😹😹😹
 
Usijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! 😹
Tajiri leo naona umeamua kujilipua. Itakua kukukumbusha ile Forester umechukia sana Tajiri, sikujua hii miaka miwili kumbe umefanya mabalaa makubwa hivi🙌🙌

binti kiziwi tajiri yetu kumkumbusha Ile Forester itakua amechukia sana. Kumbe alishavuta mindinga mingine ya maana asee
 
Back
Top Bottom