Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Jamaniiiii
Kwahiyo unachukua cargo au tank?

Naomba uwe unanipa lift twende wote Zambia na Congo..!!
Ba tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko 🇿🇲,
Ananifundishaga, nataka nijue na mie nasepea huko nje, mie ntataka cargo. Mafuta naogopa kulipuka wee.
😂😂
 
Ba tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko 🇿🇲,
Ananifundishaga, nataka nijue na mie nasepea huko nje, mie ntataka cargo. Mafuta naogopa kulipuka wee.
😂😂
😹😹😹
Kumbe shem anaendesha tank?
Kampuni gani?
 
Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti au
Ila G 😂😂😂
Maghorofa kitu gani? Mimi nachukia uongo katika maisha yangu! Lamomy alivyoonesha picha yake, hawezi kuwa amenunua kiwanja mbweni miaka ya 90s.

Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yangu. Mengine ya kawaida.
 
Back
Top Bottom