Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bro kwema?
Hebu weka tena hio picha, utakuta una ndevu hadi mapele ila unafurahi sana kuitwa pisi kali... dah hii dunia hii...
Hawaiombi hivyo..!!
Kwa taarifa yako coca ni pisi ya kwendea hana hata hizo ndevu unazosema. Acha chuki zako..!!

Selfika yako tuone 😹
 
Lamomy nimeona kivuli chako uduguu akee! Naomba unibles pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!!
Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! 😹😹

Wewe nifanyie jambo hapa nione hips 😻
Mi hilo shepu lako tu linanimaliza. Mtoto Kama umeshushwa..!! 😍😍
 
20260906_124414.jpg
 
Back
Top Bottom