Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,786
- 182,955
Mdoli wangu.
Mdoli wangu.
Asante kwa ushauri napenda sana kwenda gym ila kila nikianza nafanya kwa muda naacha kabisa .napenda sana kula ma junk foods lakin pia ni bingwa wa ku maintain weight yangu nina kg 63 kwa miaka 3 kutoka kg 80
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kuna siku uliwahi kusema eti niko mmoja ila utafikiri tuko kumi,, ilikuwa uzi wa Nyenyere tulifikisha comments elfu moja watu watatu mimi Saint anne na huyo Nyenyere tunabishana tu haki na mimi nilikuwa na muda wa kuchezeaaaaa jamani khaa yaani nilikuwa kama kichaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuweza hata kuandika hapo mistari miwili, kila comment unayosoma ni kiungulia kikali!!Basi tunaweza kuongea lugha moja ,ungeni ita kwenye huo uzi tungewatoa mapovu sana
Mimi hata sijui mnadiskasi mavitu gani...mkimaliza msisahau picha basi mkiwa mmesmileeee
Walee katika njia ipasayo tu, maana taabu inaanzia kwetu sisi wazazi. Tunachotaka kukiona sicho tunachokipanda kwa watoto wetu na namna gani tunakipanda.Napenda sana nizae watoto wa kiume kuliko wa kike lakini nikiwaza kwamba na wao wanaweza kuja kuwa mafurushi daah nachoka moyo na ubongo [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] sijui tuwalee vipi hawa watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahaMdoli wangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1784][emoji1784]
Hahahahahaah
Kule wangenitoa rohoo!!!
Hapana chezeya
Napenda sana nizae watoto wa kiume kuliko wa kike lakini nikiwaza kwamba na wao wanaweza kuja kuwa mafurushi daah nachoka moyo na ubongo [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] sijui tuwalee vipi hawa watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mie sijapitia nyuzi zingine kabisa humu, ni hapa tu.Watu wabaya waleee jamani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Napenda sana kujua mana ya furushi lakini napewa blah blah tu humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maisha ya JF yo worst enemy anakuwa yo best friend ever!
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiwaogope mwaya hata hawakufanyi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mnawateta huku ngoja niwaite mpoteane hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maisha ya JF yo worst enemy anakuwa yo best friend ever!
Hahahaha
Wanasema simba ni mkali lakini anazaaa