Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!

Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!

Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!

Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!

Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!

Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nawasomagaaa naishia tu kusonya kimoyomoyo. Ukiwakuta mafurushi wanavyopeana moyo kwenye hamna unaishia tu kusema "hiiiiiii" Mungu atufanyie wepesi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo mimi ni shahidi namba moja,, alisema hayo mapazia ubadilishe hadi na mimi nakumbuka nilimjibu.. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] looh siyo kwa upambe nuksi huu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nawasomagaaa naishia tu kusonya kimoyomoyo. Ukiwakuta mafurushi wanavyopeana moyo kwenye hamna unaishia tu kusema "hiiiiiii" Mungu atufanyie wepesi.
Wameniudhi sana!
Nikaona nikiandika gazeti kule watanitoa roho!!

Sijui kama wale ni wanaume kweli ama wavulana!
 
Ndiyo mimi ni shahidi namba moja,, alisema hayo mapazia ubadilishe hadi na mimi nakumbuka nilimjibu.. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] looh siyo kwa upambe nuksi huu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni kapambe nuksi lol[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Sijui kwanini siwezagi kuvumilia kuona wanawake tukidhalilishwa na wanaume,, labda ipo siku nitaweza kuzikalia kimya hizo kejeli zao zote juu yetu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nawasomagaaa naishia tu kusonya kimoyomoyo. Ukiwakuta mafurushi wanavyopeana moyo kwenye hamna unaishia tu kusema "hiiiiiii" Mungu atufanyie wepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika pitapita zangu
IMG_20191214_104338_3.jpeg

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Yaani, tena mtu anadiriki kumuita mwanamke ngombe, amemzalia tundama!! Imagine mwanaume anaweza ita watoto wake tundama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haki ya nani tena wengi wana stress,, mie wengine nimebishana nao weeeee hadi tumeishia tu kuwa marafiki siku hizi tunaitana baby sijui love.. mwingine huyo ndiyo sijui kapotelea wapi nimemmiss hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanachoshaaa!! Utaishia tu kusoma na kupita.
Mmoja alijisemea wana stress hivyo tuwaache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya nani tena wengi wana stress,, mie wengine nimebishana nao weeeee hadi tumeishia tu kuwa marafiki siku hizi tunaitana baby sijui love.. mwingine huyo ndiyo sijui kapotelea wapi nimemmiss hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mwakilishi wetu umechoka itakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom