Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,666
- 184,088
Kwema sana shangazi umemisika sana.Nipo shangazi
Salama?
Kwema sana shangazi umemisika sana.Nipo shangazi
Salama?
Kula tu ila b4 kunywa maji kaa 1hr ndo ulebinti mlokole nimejikaza nikasema nisubiri lunch vimenishinda, chai ya karafuu na sosage mbili haziongezi calories bwana wee!
Sauwaa mamaake!Kula tu ila b4 kunywa maji kaa 1hr ndo ule
Nini dogo?😁
Hakuna alichofanya huyo tapeli 😏Nimepitwa mnywani ukija fanya kurudia pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!!
Unabisha ulikuwepoHakuna alichofanya huyo tapeli 😏
Mtumishi Christine_1 mtu anapenda michembe, afu afanye diet we ulionea wapibinti mlokole nimejikaza nikasema nisubiri lunch vimenishinda, chai ya karafuu na sosage mbili haziongezi calories bwana wee!
Acha janjajanja mnywani weka vitruuu
Nilikuwepo sana!Unabisha ulikuwepo
😂😂😂😂😂😂😂😂millen wa kuchovyaMbona mchache, wenzie tunamsubiri Yesu na hana hata dalili ya kurudi..!! 😹😹😹
Avumilie ipo siku neema itamdondokea..
Haya selfika nimemiss kumuona Millen wetu wa JF
Nishatanua utumbo nafasi kubwa iko wazi🤦🏽♀️Mtumishi Christine_1 mtu anapenda michembe, afu afanye diet we ulionea wapi
Niko safarini naelekea msibaniLabda wewe atakusikiliza! Maana huyo kijana hasikii la muazini wala mnadi swala🙌🏾
Kumbe we ndio abdu unatuchora tu hapa tujianike utufishe🙆🏽♀️Niko safarini naelekea msibani
Mimi ni kanja njanja Niko midizini hapaKumbe we ndio abdu unatuchora tu hapa tujianike utufishe🙆🏽♀️
Ndio nani tena huko midizini?Mimi ni kanja njanja Niko midizini hapa
Hivi Christine_1 unaikumbuka hii post? Jamani watu watakufa kwa kufuatilia mambo wasiyoyaweza 😂Ulishatoboa bana we tulia hukohuko, huku ndio kama hivyo