ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,730
- 43,929
Nambwela mbwela selfika 🤣🤣🤣Tupoooo, kesho usinililie kuwa unashindwa kuamka kwenda kazini.
We kesha, kesho nisisikie mideko.
Nalala sasa kibarua kisiote nyasi baby 🥰
Nambwela mbwela selfika 🤣🤣🤣Tupoooo, kesho usinililie kuwa unashindwa kuamka kwenda kazini.
We kesha, kesho nisisikie mideko.
Isingenoga bana😄🥰ninge kusimulia☺️
Wewe tena weka chumviii 😃😃wow mcute mcute😍
aiii mie tena nasemaga ukweli mtupu banaWewe tena weka chumviii 😃😃
Tena wewe ilifaa usione siku ile ulisemaje 🤣🤣Ustadhat na kaumwanya chake.
hivyo hivyo kikubwa nikutese kwa kupitwa😆Isingenoga bana😄🥰
Dear sister 🥰
Kuimba kwaya sio dhambi jamani😅Tena wewe ilifaa usione siku ile ulisemaje 🤣🤣
Wahalaaaa😅aiii mie tena nasemaga ukweli mtupu bana
wew ni murembooooo
Acha kumbania mwenzakoTena wewe ilifaa usione siku ile ulisemaje 🤣🤣
Mdogo wangu huyo cheza taratibu 🤣 maana ninyi vijana hamchelewi 😅Ustadhat na kaumwanya chake.
Ulikaa wapi baby 😊Hii kidogo inipite nlikuwa nimezubaaa
Tiktok🤣🤣Ulika wapi baby 😊
Juzi katoka job vilio kama vyote 😂 Raha mnapata nyie shida napata mimi.dada ake shes umekua mkali hautaki hata tupewe ka picha😢
Humjui huyo.niliwahi ku selfika zamani huko akasema nina sura ya upole kama naimba kwaya 🤣🤣🤣🤣Acha kumbania mwenzako
Wallah nalala baby😍Juzi katoka job vilio kama vyote 😂 Raha mnapata nyie shida napata mimi.
Uzuri umewahiTiktok🤣🤣
We hupendi kwayaHumjui huyo.niliwahi ku selfika zamani huko akasema nina sura ya upole kama naimba kwaya 🤣🤣🤣🤣
Ulidhani nina sura ya kazi sio achana na mimi nimtumikie bwana😅😅Kuimba kwaya sio dhambi jamani😅