Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,076
NdioSauwaa mamaake!
Eti nasikia kuna msiba ni kwelii?
NdioSauwaa mamaake!
Eti nasikia kuna msiba ni kwelii?
Ehe imefanyaje?Hivi Christine_1 unaikumbuka hii post? Jamani watu watakufa kwa kufuatilia mambo wasiyoyaweza 😂
🤣🤣🤣🤣michembe ndo nn?Mtumishi Christine_1 mtu anapenda michembe, afu afanye diet we ulionea wapi
Christine ndio jina lake la mwanzo kabisaRudisha ya wog bhana 😹
Chino utamuweza wewe mishangingi yake ikishamuachia tu anakuja kunifanyia vurugu huku..!
Si nilisahau kuifuta nashangaa kuikuta mada sehemu😂Ehe imefanyaje?
Chips za kisukuma😎🤣🤣🤣🤣michembe ndo nn?
Aah kumbe ndo hiiSi nilisahau kuifuta nashangaa kuikuta mada sehemu😂
😄😄😄Chips za kisukuma😎
Am stuck😱Aah kumbe ndo hii
Viazi vitamj vile vinakatwa katwa vipande then vinawekwa juani vikauke! Vinapatikana shy, mwanza, tabora ni lake zone kwa ujumla.🤣🤣🤣🤣michembe ndo nn?
Ndio ukubwa dogo relux.Am stuck😱
Aah ndo vinaitwa hivyoViazi vitamj vile vinakatwa katwa vipande then vinawekwa juani vikauke! Vinapatikana shy, mwanza, tabora ni lake zone kwa ujumla.
Ukivila ni vizito lazima ujihisi umeshiba haswa haswa.
Re-lux🙆🏽♀️Ndio ukubwa dogo relux.
Ujue hujanitag bado.Aah ndo vinaitwa hivyo
Hata hapa home vipo
Sivipendi
Haha
Nn tena chinoUjue hujanitag bado.
Katibu una mambo mengi Jana Kuna sehemu uliniambia utanitag nisomeNn tena chino
UJue ukiikosa kwa mda mrefu unaweza anza sahau sahau vitu usije ukapoteza kumbu kumbuHahaha
Ngoja nikutag uzi 1 usome
Koh koh koh 🤭Angalia usije ukaichana😁
Duh ila chino😁😁😁UJue ukiikosa kwa mda mrefu unaweza anza sahau sahau vitu usije ukapoteza kumbu kumbu