ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,781
- 44,074
Sina upole kiasi hicho si umeona mwenyewe mahi😃We hupendi kwaya
Sina upole kiasi hicho si umeona mwenyewe mahi😃We hupendi kwaya
Bora nimejionea mwenyewe🥰hivyo hivyo kikubwa nikutese kwa kupitwa😆
Sema we pisi😍Sina upole kiasi hicho si umeona mwenyewe mahi😃
🤣🤣🤣🙌Mnatia pin mpk mnasahau,huu uwoga wa nn wakati wewe ni Mtumishi
....🤣🤣🤣🙌
Asante maa😊Sema we pisi😍
nimekoma😄Juzi katoka job vilio kama vyote 😂 Raha mnapata nyie shida napata mimi.
Ile unyama bhana, hiyo sijaipenda..!!🤣🤣🤣
Sa mpk nikae tena 60 days nadhani ndo itakubali
Au niiue kabisa hii niachane nayo
Mahari nipewe mwenyewe niongezee mtaji wa vijora 😹😹😹Ndaga fijo.
Lamomy nkamu kaachia baraka zote. katibu nawe Christine_1 si kipingamizi huna.
Ndoa ya kwanza ya selfika Iko njiani
Mbona mchache, wenzie tunamsubiri Yesu na hana hata dalili ya kurudi..!! 😹😹😹Chino anasema mwaka wa 6 huu anakufuluzia tu
😹😹😹 SelfikaChino kaumbwa kwa ajili yako tu.
Mtumie unavotaka.
Eti jamani..!! 😹😂😂😂😂😂😂
Halafu analialia kuwa unamkazia,
Kumbe tatizo ni yeye
Ngoja siku zipite nitairudishaIle unyama bhana, hiyo sijaipenda..!!
Wiki imeanza bro
hahahahaha,mambo vipi,tusalimiane kwanza MtumishiWiki imeanza bro
Nakufuatilia🤣🤣🤣
Salama ziko nyingihahahahaha,mambo vipi,tusalimiane kwanza Mtumishi
hahahahaha, niko fineSalama ziko nyingi
🤣🤣
Safi kabisa
How r u?