Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,781
- 9,392
Vibastola navo si haba.
Weka mbali na watoto hii.
Vibastola navo si haba.
Kabla sijabustiwaHaiwezekani, matajiri wote hawa jf utabustiwa tu!
Umesema Kila sehemu ana kunjika ee?Basi yaishe😂
ChinoUnavojitoa sasa!!
Waku bust wakuseme unaomba helaHaiwezekani, matajiri wote hawa jf utabustiwa tu!
Humu matajiri safi wa vochaWaku bust wakuseme unaomba hela
Nakuuliza na weweHuyu Seran mwambie chino sipo ataweka Kuna kitu hataki nikitazame
Ila vijana hawakati tamaa we huogopiNazeeka
Acha nikae zangu kimya tuHumu matajiri safi wa vocha
Ni mjep na mabossledi wawili
Hao wengine tuwaogope
Selfika wewe🤪🤪Huitaji hata kuongeza mafuta yao Yale ya nazi wanaongezaka kitu skini kinavutia automatically Leo umejua kuisuuza nafsi ya chino Christine_1
🤪🤪🤪umeona wapi hawakati tamaaIla vijana hawakati tamaa we huogopi
Tunamalizia kuweka kamguu kenye nyama dyadyaKabla sijabustiwa
Hebu nibless kwanza
KabisaaUmesema Kila sehemu ana kunjika ee?
Mimi naomba na siwazi wala nini we omba ela mamaWaku bust wakuseme unaomba hela