Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,064
- 91,668
Unazinguaaa😁Ill toto lipo rock city ujue?
Aya weka vitu kabla hawajaja
Unazinguaaa😁Ill toto lipo rock city ujue?
Aya weka vitu kabla hawajaja
Hebu nitumie kwenye test tube nikajaribu😂Sijisifii ila kwenye mbegu oya copy zangu ni noma
Mimi bibi kizee nije kutafuta nini humu 😂Binti wa zamani mbn sijawai kuona ukitia neno humu
Mbn napitaga humu auntyMimi bibi kizee nije kutafuta nini humu 😂
Ka-niece kangu ulivyo mrembo sasa, hebu pita tuishtue JF kidogo!
Kama unanipenda huwezi kuniambia nipite humu, hapa pisi kali kali tu kama ShesRise_1 , binti kiziwi , Seran , Christine_1 na mabinti wengine ndiyo huwa wanapitaga.Mbn napitaga humu aunty
Ata wewe pita tuu tunakupenda ivyo ivyo😁🤣
Pitisha ata miguu niliyoonaga 🤣kwenye uzi wako wa zamaniKama unanipenda huwezi kuniambia nipite humu, hapa pisi kali kali tu kama ShesRise_1 , binti kiziwi , Seran , Christine_1 na mabinti wengine ndiyo huwa wanapitaga.
Mimi ni mpenzi mtazamaji tu!
Miguu ya kazi gani bwana, humu watu wanataka wenye makebo na nyie wenye rangi za mtume.Pitisha ata miguu niliyoonaga 🤣kwenye uzi wako wa zamani
Kuanzia ss mi ni mpenzi mtazamaji🤣Kama unanipenda huwezi kuniambia nipite humu, hapa pisi kali kali tu kama ShesRise_1 , binti kiziwi , Seran , Christine_1 na mabinti wengine ndiyo huwa wanapitaga.
Mimi ni mpenzi mtazamaji tu!
🤣🤣🤣🤣🤣Miguu ya kazi gani bwana, humu watu wanataka wenye makebo na nyie wenye rangi za mtume.
Sisi wengine, acha tusubiri tu pensheni zetu kwa amani, habari za kuanza kushambuliwa flat screen zetu hatutaki.
Pisi zipi tofauti na wewe😆Kuanzia ss mi ni mpenzi mtazamaji🤣
Pisi zinajulikana usinijaze upepo
Sisi tunyamaze kimya, hakuna haja ya kutia kelele.🤣🤣🤣🤣🤣
Tusio na makebo tunacomment wapi
🤣🤣🤣Pisi zipi tofauti na wewe😆
🤣🤣🤣Sisi tunyamaze kimya, hakuna haja ya kutia kelele.
Sema na ww pisi balaaaa😍hii siri simwambii mtu😚Miguu ya kazi gani bwana, humu watu wanataka wenye makebo na nyie wenye rangi za mtume.
Sisi wengine, acha tusubiri tu pensheni zetu kwa amani, habari za kuanza kushambuliwa flat screen zetu hatutaki.
Unatania wenzako watadhani kweliSema na ww pisi balaaaa😍hii siri simwambii mtu😚
Baba mkubwa anafaidika
Kizuri kisifiweee😁
Mie nae nipo kwenye kundi la pisi kali 😆😆😆 aloooKama unanipenda huwezi kuniambia nipite humu, hapa pisi kali kali tu kama ShesRise_1 , binti kiziwi , Seran , Christine_1 na mabinti wengine ndiyo huwa wanapitaga.
Mimi ni mpenzi mtazamaji tu!