Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,769
- 88,878
Bonjour monsieurBonjour
Bonjour monsieurBonjour
hahaha!! mgonjwa tiba atapewa lini atulieWewe dawa yako ipo😀
Marehemu alikuwa ana mdomo sana😅hahaha!! mgonjwa tiba atapewa lini atulie
Ntakata moto! Hata kabla dawa haijaniingia vizuri. Huiogopi jamuhuriMarehwmu alikuwa ana mdomo sana😅
Duh bundle lilikataHebu pita naked dada kwanza
🤪😎😁😁😁ngoja nihame tu mtaa😄😄😄😄😄😄
Mtumishi hata ww unaishiwa bando?Duh bundle lilikata
Next time
Happy Sunday
hamia mtaa wa saba ,hapa🤪😎😁😁😁ngoja nihame tu mtaa
kuna radio moja inapiga hip hop tu ,iko washington ,naisikiliza hapa kupitia radio garedn ,ngoma juu ya ngoma
vzr sanaHappy Sunday wa misa ya 1 najua mshatoka
Na wale wa ibada ya 1 pia nahua mshatoka
Mi ni nani bro😁😁😁kapuku tu mieMtumishi hata ww unaishiwa bando?
Ngoja nihame mkoa kabisahamia mtaa wa saba ,hapa
si kweli we huwezi kuwa kapuku ? napinga ,kimya labda uko busy sio kukosa bandoMi ni nani bro😁😁😁kapuku tu mie
Ukiona hunioni humu ujue sina bundle 😄
hahahaha,twende geita ,nina kitalu pale burigi tukafanye uwindajiNgoja nihame mkoa kabisa
😄 🤣
Jmn why???si kweli we huwezi kuwa kapuku ? napinga ,kimya labda uko busy sio kukosa bando
Labda katoro mkuu🤣🤣🤣hahahaha,twende geita ,nina kitalu pale burigi tukafanye uwindaji
katoro ndiko nyumba ilipo ,kitalu burigi ,usihofu MtumishiLabda katoro mkuu🤣🤣🤣