Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Juzi Kuna dada nimepishana nae nikamsikia anasema jua ni Kali acha niende ivo ivo! Nikasema huyu anaongea na nani na simu hapana! Na Mimi hapana. NAMI nikaishia kucheka peke angu
dah si mchezo ,life imekua tyt sana

halafu unakuta mdada unamsaidia hata 20k anakudharau ,wkt road anaongea mwenyewe
 
Back
Top Bottom