Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,573
- 90,440
Goja nikuchekie moja mbofumbofu hivi😎Itabid ili nisichapiwe 🤣😅
Goja nikuchekie moja mbofumbofu hivi😎Itabid ili nisichapiwe 🤣😅
Walioquote picha sio, we si unatukanaga mama🤨Zinatosha mlio quote futen comment picha ya mbamizwa ndege isidukuliwe wejemeni 😫😆 cc
Ntawashangaza vibaya! Pisi kali mlangoni napita kiupandeupande🤔Wewe pia ni pisi kali, tatizo hutaki tukuone! 😊
Usinifanyie hivi🙆🏽♀️Seran
last time umeselfika uko na bonge la msinia wa chips hivi ulimaliza kweli?
View attachment 3664055
Ulikolalia huu mwezi mzima kijana! Kuwa makini..Mshangazi una balaa huo.
Sorry Bu ni accidentallyUsinifanyie hivi🙆🏽♀️
Halafu hiyo inaitwa pizza, sema pitzza.. enhee..
Kumbe nawe ni moja ya masilent killers sio🤔
Usinifanyie hivi🙆🏽♀️
Halafu hiyo inaitwa pizza, sema pitzza.. enhee..
Kumbe nawe ni moja ya masilent killers sio🤔
Nimekosea nini jamani kijana wa watu😅Ulikolalia huu mwezi mzima kijana! Kuwa makini..
Ntawashangaza vibaya! Pisi kali mlangoni napita kiupandeupande🤔
Kwanini unatunza picha za wapitaji?🤔Sorry Bu ni accidentally
Shangaa nawe! Wasione mtu unakula vyakula vya kitajiri wanaanza kukudogodisha! Chips gani ya elfu 20+😎Kweli bwana hiyo ni Pizza, hakuna kiepe cha namna hiyo, asikudunishe! 😊
Unashuhudia jirani yako uongo unavunja amri ya 9 huko!Nimekosea nini jamani kijana wa watu😅
Embu nirushie picha nione kwanza
Kwanini unabisha lakini😂Sio kweli. 😊
kwangu wewe sio mpitaji😁Kwanini unatunza picha za wapitaji?🤔
Leo umeniamlia sana jamani, loh! Kwa uzuri gani? Wacheni kurusha waja roho ndio yale ya minie, mwishowe nirogwe kumbe si kweli 🤣💔
OMG!!Amka kumekucha mubaba😂😂
View attachment 3664068
Wifi acha uongo mbona mi kamera hainipi shepu kama lako.Hapana avatar sio mie mamchu! Afu mi hata sina shepu mjue nashangaa nikipiga camera inanitoaje sijui!!
Kuwa na heshima na shemej ako mzee mambo ya pic achana nayo kabisaHuwezi kurogwa bwana! Mbona binti kiziwi , kaweka picha kali hajarogwa. Hata hivyo sio ugomvi, siku ukijisikia kuweka picha nitag. 😊