Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
Maumivu ya sehemu hiyo yalikuwa yakinisumbua sana, mie nikadhani ni sababu ya mamipira niliyokuwa nacheza...
Lakini tiba yake mie nilikuwa naenda ufukwenu pekupeku, nitakimbia Kisha nitaogelea kwa muda mrefu sana.. siku hizi havinisumbui kama zamani umeingia ugonjwa wa magoti sasa
 
Bila unafki hakuna anayekuzidi kwa shape mama miongz..!! 😍😍

Hata waungane wake wenzio wote meyooo 😹😹

Hilo shape la sanchoka hata mama Paula haiingii..!!

Uniite nasubiri, huyu Ambition plus sijui mshangazi gani umemteka huko?? 😹😹
Kwenye shape humu shoouz angu anazidiwa na BL tuu.
Wengine wote kawafunikaaa, shape km Masogangee.
🔥🔥🔥
 
Mi uduguu wangu wewe nakujua vyedi sijakujua jana..!! 😹

Hilo shape narudia tena hakuna JF 😍
Hata kulielezea nashindwa naona km sitolitendea haki..!!

Kuna siku ulivaa baibui lakini bado mzigo ukajitokeza..!! Shem anafaudu kiukweli 🥰🥰
Ko nimepitwaa shape ikiwa ndani ya Abaya?
Aaaah jamaniii!!
 
Back
Top Bottom