Nipo nimetega lkn holaNgojaa nipitee naked km kindege, shwaaaa.
😂😂😂😂
Thubutuuuuu!! 😂😂😂Nipo nimetega lkn hola
Pita basi kama unaaga maiti 😁
Hiyo kama tupo Isfahan,Iran.Duuuh pakame hivyoo??
Morning sissss ndo naingia saiii nmepitwa
Duhhhh!!! Huku Buzebazeba kupata fukwe sasa!!!Maumivu ya sehemu hiyo yalikuwa yakinisumbua sana, mie nikadhani ni sababu ya mamipira niliyokuwa nacheza...
Lakini tiba yake mie nilikuwa naenda ufukwenu pekupeku, nitakimbia Kisha nitaogelea kwa muda mrefu sana.. siku hizi havinisumbui kama zamani umeingia ugonjwa wa magoti sasa
Buzebazeba hapo, hakuna fukwe za tanganyika eeh?Duhhhh!!! Huku Buzebazeba kupata fukwe sasa!!!
Ngoja nitafute alternative . Asante
Naona umeglow unawakaa! Macho yangu au umenunua simu mpya?
Ni kilekile Ki itel huwa kinaning'arisha ndomana nakikubali sanaa😁Naona umeglow unawakaa! Macho yangu au umenunua simu mpya?
Basi uzazi umekupenda umezidi kua mtamuuu🔥🔥Ni kilekile Ki itel huwa kinaning'arisha ndomana nakikubali sanaa
Mshangazi wa nkwendea huu😋
Long time kitamboooo ndo unajua leo??Mshangazi wa nkwendea huu😋
Weee kumbe!Basi uzazi umekupenda umezidi kua mtamuuu🔥🔥
Mashallah ustadhati 🔥🔥
Kweli nimechelewaLong time kitamboooo ndo unajua leo??
😍😍😍 Tonnia wangu huyo rangi inashout yenyewe bila filter wala snap..!!