makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,623
- 109,020
Nasikitika kusema, we utachomwa na gesi kwa kuongeza chumvi na kuongea unafiki 🤣Mkaka mzuri wewe 😍
Halafu nilijuaga maka ungekua mtu mzima flan mbaya..!! 😹😹
Kumbe hb la mwaka wa mbele..!! 😻
Kale kamwanya kale ningekapata wangenikoma 😹😹
