Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 hapo sasa unanichamba..!!
Em weka bhasi hilo shape uduu 😻
Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
 
Attachments

  • 20260610_192113.jpg
    20260610_192113.jpg
    882.3 KB · Views: 7
Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
😍😍 Mguu mzuri uduguu..!!
Hapo sioni au itakuwa mdudu kakutambaa?
Au unavaa viatu vya kutumbukiza kwa muda mrefu?
 
Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
Hiyo Kwa asilimia 80 itakuwa uric acid imezidi mwilini na inapelekea gout.Hapo tafuta Prednisone za buku na allopurinol uanze tiba .Acha nyama na pombe .Naongea Kwa uzoefu tu ( mimi sio daktari)
 
Aiseeeee!! Tena nyama saivi napenda balaaaa mbona hatariiii!

Wacha niwahi tiba mapema asante sana
 
Kumbe tuna madokta na hamsemi 😀
Em nitajie dawa nzuri ya ulcers
 
Aiseeeee!! Tena nyama saivi napenda balaaaa mbona hatariiii!

Wacha niwahi tiba mapema asante sana
Inauma balaa unaweza kusema umevunjika anza dawa na maji mengiiii sana.Minyama kaa nayo mbali na mipombe.Mi mwaka wa tatu huu inakuja inapotea ila maumivu yakeee usiombe.
 
Mimi sio daktari ila hio shida inanitesa mara ya kwanza namimi nilihisi nimevunjika mpaka nikanunua dawa za kuchua kumbe ndio hio miuric acid.
Oohh..!! Sasa mi ninavyopenda nyama sijui itakuwaje..!!
 
Mbona wamasai wanadunda tu.Ila mimi niliambiwa nyama ,mipombe,karanga mbichi,michainizi nikae nayo mbali.Ila Kuna watu wanakula minyama na kunywa mipombe hata hawaumwi.Matabibu ndio wanamjua Aisee .
 
O
Inauma balaa unaweza kusema umevunjika anza dawa na maji mengiiii sana.Minyama kaa nayo mbali na mipombe.Mi mwaka wa tatu huu inakuja inapotea ila maumivu yakeee usiombe.
Pombe sinywii ila nyama nikama nimekuwa addicted nayo saiii last year nimekula sana ilitokea ujauzito ukapenda sana nyama alooooo hata saa 8 9 kumi usiku nlikua naamka nakula imeendelea ivoivo . Ngoja nipunguze
 
Back
Top Bottom