Naamini umeipataCode gani? Itoe basi 😹
Naamini umeipataCode gani? Itoe basi 😹
😹😹 G una balaa sana..!+917
Kwani kila mwana JF yupo sehemu moja?😹😹 G una balaa sana..!
Umechoka kuomba kufunguliwa pm bora ujilipue tu!
Halafu code namba sio ya bongo hii..!
Weka pesa ya bundle sasa mi nakupigia vipi sasa? 😹Naamini umeipata
SawaWeka pesa ya bundle sasa mi nakupigia vipi sasa? 😹
G una bidii 😹Kwani kila mwana JF yupo sehemu moja?
Ubavu wa kuoa sina mwenzangu.G una bidii 😹
Ngoja nikufungulie pm laaziz labda mwaka huu nitaolewa hata mke wa pili..!! 😹
Unao wa kutafuna na kupita 😹Ubavu wa kuoa sina mwenzangu.
Nishashindwa na kulegea?Unao wa kutafuna na kupita 😹
Kama hamna ndoa basi ushashindwa..!!
Kabisa, wewe unataka kuniharibia maisha yangu..!! 😹Nishashindwa na kulegea?
🤣🤣🤣🤣Usinambie tujiandae na bebi shawa 😹😹
cocastic wog anatuletea mgeni jiandae shuhuli tunayo..!! Utakuwa msasambuaji au MC?
😹😹😹 Wog Wog shem bebi shawa atupeleke Zanzibar basi jamani..🤣🤣🤣🤣
Ila dada wa uvinza umenishinda tabia
Ila ww🙌🙌🏃🤣🤣😹😹😹 Wog Wog shem bebi shawa atupeleke Zanzibar basi jamani..
Nasubiri selfie za 🤰Ila ww🙌🙌🏃🤣🤣
Wamekueleza mimi domo zege?Kabisa, wewe unataka kuniharibia maisha yangu..!! 😹
Ngoja tuongee dili nikutafutie mwanamke wa kula naye starehe..!!
Malipo yawe ya kunona sasa!
Duh🙌🙌🙌Nasubiri selfie za 🤰
Uwe unamtag na shem sasa..!
Tiba ya mshipa?Dr. Nahitaji tiba mimi 😋😋
Si unataka mwanamke wa kufanya naye starehe sio wa kuoa, ndio nataka nikuchoree mtu wa hizo mambo..!Wamekueleza mimi domo zege?