realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,381
Tayari jamaniBado hujatupia,tunasubiri
Tayari jamaniBado hujatupia,tunasubiri
Tupia mkononi tu nirudie...Itoshe kusema sina bahati, mara mbili zote kapa
Ila asante, siku nyingine.
sawaaa usilale tu shem wangu,, ila shart ni moja tu na wew utupie🤗😊sijawai kukubahatisha hata maramoja, ila saivi watu wamejaa jaa, tuje basi baadae kwaajili ya hilo
Nimechekaa km mwehuu, 😂😂😂Kwani ukinipa kuna shida gani maka 😹
Ngoja nikupe story sasa..
X nilifungua parody nikajipa jina flani very unique. Sasa tukawa tunajibizana sana issue za politics Kumbe kuna mdada akajua mi mwanaume akaanza shobo mara arepost tweet zangu, likes nyingi..
Ikabidi nichungulie page yake nikakuta yupo vizuri ila mashauzi mengi. Nikaanza ku like na kumsifia..!!
Eeh..!! Kumbe kimefall bhana 😹
Basi nakuta tag kwenye zile nyuzi za watu wanaovutiwa nao X na wanaume kule wananijaza “Oyaa mwanetu maliza pisi imekuelewa” Mi nakufa kucheka 😹
Sasa kuna siku kazama dm anajichekesha basi nikatafuta desa langu la mtongozo kuna jamaa mmoja alikuwa ananiimbisha nikatambaa nalo. 😹
Mdada anachekelea balaa, kila akinitengenezea mazingira ya kunipa namba nachomoa..!! (Najua alichokuwa anataka) Sa mi mkia nautoa wapi jamani..!!
Nikapotea kama mwezi kurudi nakuta dm nyingi za malalamiko kwanini simzingatii..!! 😹
Kuna siku akanitumia pics zake ana night dress na kibikini kinaoenkana 😻😹😹
Nikamkumbuka hapa angekuwa shost yangu Dr. Mariposa asingechelewesha angempiga finger kwa muonekano ule..!!
Sasa bhana nilivyomsifia ikawa fungulia mbwa mpk mpodido natumiwa 😹
poleee ila mi nimemuona kwa niaba yako😇😄Itoshe kusema sina bahati, mara mbili zote kapa
Ila asante, siku nyingine.
Ukirudia unitagTupia mkononi tu nirudie...
😹😹 Wacha weeh.!!We acha nipate na staafu kamoja ka kukalea😅😅
Selfika basi shogileee aah mi sipendi😎
Heee,poleee ila mi nimemuona kwa niaba yako😇😄
Mbona kama ndio atajisikia safe...??🤷🏾♀️imagine unamwambia mwanamke, Baadae tuonane, lakini mimi nitakuja na marafiki zangu kama 10... ataogopa
Rudia basi mkaka muhansamu JF nzima 😻
Akhaaa huachiiii 🤣😹😹 Wacha weeh.!!
Mi nashaselfika bado wewe tupia mrembo utetemeshe server..!!
Sawa uzuri mi nafaham photo zako🤣Nitaselfika siku moja, mwanzo nilselfika sana tu
poleee next time sasa utamuona,, au akutumie huko kwenye kibox👌🤭Heee,
Tatizo nina mambo mengi
Hahaha, inbox sitakipoleee next time sasa utamuona,, au akutumie huko kwenye kibox👌🤭
Umelala doro 😹😹Nimeishiwa mipango, assist kama hizo mie naweza butua nje nikadhalilika.
Safi sana ,km unazifahamu Haina haja ya kuzirudiaSawa uzuri mi nafaham photo zako🤣
We ushakiweka ✋🏾 usikae mbali.Ukirudia unitag
Hongera sana kaka.