Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
U fortunatelytuma ata view once chap kwa ajili ya ambao hatukuepo tumebaki wawili tu apa 😁
Jf hawana hiyo option
Ingekuwepo Ingekua safi safi
U fortunatelytuma ata view once chap kwa ajili ya ambao hatukuepo tumebaki wawili tu apa 😁
Mim beyonce gani mweusuKwa hakika pisi ya kwenda, mwili wote umepigwa shoti kuona mrembo mithili ya beyonce.
Me najua ni mzungu, me nipo Mwanza vijijini kabisaKwani beyonce ni muzungu? Unajua nimepokea kiinua mgongo changu, sasa nijibu upo mwanza au pande zipi Lovelovie
Kwahiyo weekend huna mpango kabisa wa kuja mjini? Tunaeza arrange.Mim beyonce gani mweusu
Me najua ni mzungu, me nipo Mwanza vijijini kabisa
Mjini nakuja christmas na pasakaKwahiyo weekend huna mpango kabisa wa kuja mjini? Tunaeza arrange.
Kwani ukinipa kuna shida gani maka 😹X natumia jina langu halisi kabisa... siwezi toa.
Kuhusu kuambiwa "ingiza yote" sasa hiyo ina shida gani, kwani huwezi ambiwa ingiza yote kwa lugha ya malkia elizabeth?
Hiyo migebuka 😋Karibu migebuka
Kuna swali nataka nikuulize kama hutojali.Hahahaa
Kuhusu niniKuna swali nataka nikuulize kama hutojali.
Hizi pigo zamotro sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 awwwwww
Upite sasa mamaake😝Hizi pigo zamotro sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 awwwwww
Unazidi kunougaaa tu sis unaupiga mwingi
Pendeza sanaaaa
Na mpya hata binti mrembo!😊Upite sasa mamaake😝