Ulikuwa unakimbizana nao?😅hapana ni kuku ndo wamenichelewesha kuja huku
Hebu tupia sasa twende kaziunambie sas nisije nikakutana na vumbi mkuu
Jf ina waremboo nyieee!
Mno udugu nimeona alooo! 😹😹Jf ina waremboo nyieee!
wamenichoshaaa mpka basi,, hebu ngoj nikae kwanzaUlikuwa unakimbizana nao?😅
Haya fanya kuniachia baraka dada'ako kabla sijazima!
Mkuu unamwaga moto kama dragon ila yako hatujaonaJf ina waremboo nyieee!
Ila picha sio kitu ya kutunyima sisi ndugu zako. 😊😊😊hapana ni kuku ndo wamenichelewesha kuja huku
Haya ukitaka kupita nishtue sio nipitwe tena!wamenichoshaaa mpka basi,, hebu ngoj nikae kwanza
oke okeHebu tupia sasa twende kazi
Mbona natupia sana tu miyeee itakua unachelewa sanaMkuu unamwaga moto kama dragon ila yako hatujaona
nitakuwa nimekuchelewa, sio mbaya ikirudiwaMbona natupia sana tu miyeee itakua unachelewa sana
Yaaan kuchelewa sana unayoongelea ni sekunde 3.Mbona natupia sana tu miyeee itakua unachelewa sana
Hapana mi huwa naacha sana mpaka mbona weye ndo utakua unachelewa kuja labdaYaaan kuchelewa sana unayoongelea ni sekunde 3.
Muwe mnaacha hata dk kadhaa bana.
mnafanya Selfika iwe kama Aviator 😊😊😊😊. Ukizubaa tu. Shwaaaaaa.
Wewe tena,Unataka kupofuka macho? 😹
Ngoja nitafute kaputula ya kuselfikia, siku hizi tunaselfika na kaptula nionyeshe kishundu mchachuko… 😹😹