cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
😂😂😂😂Unataka kupofuka macho? 😹
Ngoja nitafute kaputula ya kuselfikia, siku hizi tunaselfika na kaptula nionyeshe kishundu mchachuko… 😹😹
😂😂😂😂Unataka kupofuka macho? 😹
Ngoja nitafute kaputula ya kuselfikia, siku hizi tunaselfika na kaptula nionyeshe kishundu mchachuko… 😹😹
ku like sawa ila ku quote hapanaUnaniruhus ni like na ku I quote hiyo pic,😆
Wangu waje 😹😹😹😂😂😂😂 ila uduguu jamanii, ko ufalme wa mahansamu ni wako, ko waje kwa wingi??
Alooooh
NimepitwaTayari jamani
Sawa sawaCredit to my bebe....😁🔥
Hongera dihaCredit to my bebe....😁🔥
sijalewa kiivo bibie au umetuma kwa manati mana sijaambulia kitu wkt nipo standby kama walinzi wa mama Abduli 😬Tayari nimetuma au haijafika?
Haina tatizo wewe sikupingi wala kukubishiaku like sawa ila ku quote hapana
Hongera na karibu sana ngazi ya 3! 🧁
Kumradhi, hii hapa.Weeh usintanie em weka pic hiyo usitunyime vitu vizuri 😍😍
Aah we natania bana😁😁Safi sana ,km unazifahamu Haina haja ya kuzirudia
Tunaingia floor mpya au sio?Ahsante sana kaka. Bado saa moja niage umri wa mambo mengi
X nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! 😹😹Nimechekaa km mwehuu, 😂😂😂
Yaani huishiwi heka heka eeeh.
Mie nilikua na weka kwa faida yako,sio wageniAah we natania bana😁😁
Ht ingekuwa hivyo unarudia kwa faida za wageni
Astghafirullah we binti 🙌🙌X nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! 😹😹
Siku akijua atajicheka, natamani kumpa assist cazee wangu tatizo niliwahi kumtukana kupitia parody langu na hajui km mimi.!! 😹
Lazima zipigwe akinijua 😹
Asante kipenziHongera diha
Wee umechelewa kuliweka pics hapa mpk sio poa 😹😹😹Akhaaa huachiiii 🤣
Mie leo niko kando naangalia mangizo mapya😀😀
ewaaa nimefurahi kusikia hivyo tresorHaina tatizo wewe sikupingi wala kukubishia
Basi sawaMie nilikua na weka kwa faida yako,sio wageni