Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,863
We nawe una mdomo kuselfika aaahh 😹😹win-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.
Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule 😊😊😊😊
Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran 😂😂😂😂